Monday, August 27, 2012

Familia ya Rais Shein yahesabiwa


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein, na familia wakijibu maswali ya karani wa sensa, Asia Hassan Mussa,jana. 

Rais Shein anaishi katika Shehia ya Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Kushoto kwa Rais Shein ni mkewe, Mama Mwanamwema Shein. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment