Monday, August 27, 2012

Familia ya Rais Kikwete yahesabiwa

 Rais Jakaya Kikwete ,mkewe Mama Salma Kikwete na familia yao wakijibu maswali ya karani wa sensa ya watu na makazi , Clement Ngalaba nyumbani kwao, Ikulu Dar es Salaam, jana.
 
 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment