Friday, June 8, 2012

Mtoto mchanga atupwa dampo

 Kichanga kikiwa kimetupwa katika dampo lililopo Soweto Mbeya

Wananchi  wakikiangalia kichanga hicho kikiwa kimezungukwa na uchafu dampo.
 
Hadi sasa mzazi wa kichanga hicho hajafahamika.
 
Chanzo: Blog ya Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment