Friday, June 8, 2012

Chadema waunguruma Mchinga

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mvuleni jimbo la Mchinga mkoani Lindi, katika mkutano wa kampeni ya Vua Gamba Vaa Gwanda.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibroad Slaa alipowasili katika kijiji cha Mvuleni jimbo la Mchinga mkoani Lindi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibroad Slaa akizungumza na vijana wa kijiji cha Mvuleni katika jimbo la Mchinga mkoani Lindi, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.
 
 (Picha zote na Joseph Senga).
 

No comments:

Post a Comment