| Picha za juu kwa hisani ya Mjengwablog
 |
Rais
Jakaya Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa chama cha CHADEMA , Freeman Mbowe wakati wa kuaga mwili wa Muasisi wa chama cha CHADEMA
marehemu Bob Makani |
 |
Rais Dkt.Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakibeba jeneza la marehemu Bob
Makani |
 |
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za Mwisho |
 |
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiteta jambo na mjumbe wa tume ya kukusanya
maoni juu ya katiba Prof.Mwesiga Baregu katika viwanja vya Karimjee
leo. |
 |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Katibu Mkuu wa CHADEMA
Dkt. Wilbroad Slaa katika viwanja vya Karimjee kufuatia msiba wa muasisi
wa Chama hicho Bob Makani.(picha zote na Freddy
Maro) |
|
No comments:
Post a Comment