Mchezaji
wa Italy's Claudio Marchisio akichuana na kiungo mahiri wa Hispania Andres Iniesta katika uwanja wa Gdansk Nchini Poland.
Antonio Di
Natale akiifungia Italia bao la kuongoza.
Cesc
Fabregas akishangilia baada ya kusawazisha bao katika mchezo huo wa kuwania kumbe la
Mataifa barani Ulaya jana usiku, hadi hadi mwisho wa mpambano huo Italy 1-1 Spain.
No comments:
Post a Comment