Mchezaji
wa Croatia Mario Mandzukic (jezi ya bluu) akifunga bao la kwanza kwa kichwa katika
dakika ya tatu kipindi cha kwanza, dhidi ya Ireland.
Mchezaji
wa Ireland Sean St. Ledger akishangilia bao la kusawazisha katika
dakika ya 19, kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment