Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akipita jukwaani wakati wa onesho la mavazi la
kuchangia nyumba za wazee na kutimiza miaka mwili kwa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation.
Hafla hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
Vazi la harusi
No comments:
Post a Comment