Mgeni rasmi katika tukio la Wiki ya Upandaji Miti kwa Benki ya KCB, Bw. Francis Mkabenga akipanda mti katika Shule ya Sekondari Luchelele, walimu na wanafunzi wa shule hiyo walishuhudia.
Miti 750 ilipandwa shuleni hapo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Tumaini, Wilhard Kamanzi akimwonesha Meneja wa KCB tawi la Mwanza, Walter Lema, maeneo ya shule hiyo.
Meneja wa KCB Tawi la Mwanza, Walter Lema, akipanda mti aina ya mparachichi katika Shule ya Msingi Tumaini iliyopo Kigoto wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, huku walimu, wafanyakazi na wanafunzi wakishuhudia tukio hilo.
Miche ya miti 750 ilipandwa katika eneo la shule hiyo.
No comments:
Post a Comment