Thursday, June 23, 2011

Jack Wilshere anasubiri mtoto

Nyota wa Arsenal, Jack Wilshere (19) akigusa tumbo la mpenzi wake, Lauren Neal (22) wakati walipokuwa mapumzikoni ufukweni.


Wilshere na binti huyo walianza uhusiano wakati nyota huyo wa soka alipokuwa na umri wa miaka 16, waliachana Januari mwaka huu, lakini muda mfupi baadaye msichana huyo alibaini kuwa alikuwa mjamzito, sasa wamerudiana.


Kiungo huyo wa The Gunners amesema, atakuwa baba mzuri wa mtoto mtarajiwa na atakuwepo wakati Lauren anajifungua Oktoba mwaka huu.


Soma hapo chini


ARSENAL ace Jack Wilshere places a tender hand on his pregnant girlfriend's tum as they enjoy a sunshine break.


The midfielder, 19, and Lauren Neal, 22, looked more in love than ever after getting back together just last week following a split.


They broke up in January before Lauren realised she was pregnant - after a relationship that began when England star Jack was just 16.


But when they learned about the baby, Jack vowed to be a good dad and promised to be at the birth.


And he posted on Twitter from his getaway on the island of Sardinia indicating he understands what it means to be a good parent.


He wrote a message praising his dad and left a Father's Day greeting, saying without him he "wouldn't be where I am today".


The baby is due in October.

No comments:

Post a Comment