Tuesday, June 14, 2011

John Terry na familia yake

Beki mahiri wa Chelsea ya England, John Terry,, akiwa mapumzikoni na mkewe, Toni
Mlinzi wa timu ya taifa ya England, John Terry na familia yake

Baba, mama na watoto

Sijawahi kuona picha kama hizi kwa wanasoka wa kibongo, ina maana huwa hawaendi maeneo kama haya? hawana muda wa kuwa na familia zao kama hivi au mila na desturi haziruhusu?

No comments:

Post a Comment