Friday, June 10, 2011

Usain Bolt hakamatiki



BINGWA wa dunia wa mbio fupi, Mjamaica Usain Bolt amezidi kudhihirisha umwamba wake kwa kushinda mbio za mita 200 za Samsung Diamond League jijini Oslo, Norway.

No comments:

Post a Comment