Monday, March 23, 2009

Raha ya kulea muulize mzazi



Huyo mtoto hata jina simfahamu, ila nilipenda kumbeba tulipokutana akiwa akiwa kabebwa na mama yake katika geti la kuingilia katika hifadhi ya taifa Mikumi mkoani Morogoro miezi kadhaa iliyopita.
Kuna mwenye swali?

1 comment:

  1. Swali N'nalo lakukuuliza: Kwani wewe kapera? Na baba'ke akimuona mwanawe ukambeba huoni mama'ke kero umeshamzulia la kumiminiwa fataki za maneno na mvua ya makonde?
    jibu nasubiri kaka weeeee!

    ReplyDelete