Saturday, March 21, 2009

Nani wa kumlinganisha na Michelle?







RAIS Barack Obama wa Marekani na mkewe, Michelle.
Kama utaweza fuatilia mavazi ya Michelle, anavaa tofauti sana na wake wa marais wengine.

Ili kuthibitisha hili, ni mke wa Rais yupi anayevaa nguo kama anazofaa First Lady wa Marekani?

Nieleweke kwamba sizungumzii thamani ya nguo za First Lady wa US ila design ya 'pamba' zake, mfano, namna anavyoacha mabega yake wazi.

1 comment:

  1. kweli kabisa dina mimi binafsi namfagilia sana michelle. nampenda kila kitu chake. lakini zaidi ni aina ya pamba anazovaa. hakuna anaemfikia kwakweli. she is very simple and nice lady. i really like her. huwa napenda sana kuangalia na kusoma vingi kuhusu yeye. kama muda utaniruhusu nitakutumia photo zake zingine

    ReplyDelete