Saturday, March 21, 2009

Trafiki Mpo?


KWA mtindo ni ndoto kupunguza ukubwa wa tatizo la ajali za barabarani.
Nilipoiona hiyo picha nilikumbuka msemo wa mitaani kwamba 'basi halijai ila nafasi zimekwisha'

No comments:

Post a Comment