MUDA si mrefu nimetoka ofisi za Clouds Entertainment Company Limited jengo la Kitega Uchumi Dar es Salaam kuzungumza na msichana anayewakuna wanawake wengi katika kipindi cha LEO TENA.
Kuna watu wanaomfahanisha na Amina Chifupa lakini anafahamu kuwa hawezi hata siku moja kufanana naye.
Uongozi wa Clouds FM umemkabidhi Dina Marius mikoba ya Chifupa tangu mwaka 2006 kuendesha kipindi hicho.
Kwa namna nilivyozungumza naye yupo tofauti na mtazamo wa wengi na hata yeye anafahamu kuwa watu wana mtazamo hasi kuhusu yeye wakiamini kuwa ni mbea, shangingi.
Mambo yote Jumapili kwenye HabariLEO Jumapili
Huyu ndiye yule anayeendesha kipindi cha HekaHeka na Gea? Samahani ikiwa nimekosea ila kama ndiye, basi anafahamu sana kupendezesha kipindi.
ReplyDelete