“Nitafanya kila linalowezekana
kuhakikisha kuwa Watanzania na nchi yao, wananufaika kutokana na mapato
ya rasilimali kutokana na gesi asilia.
Nataka na natamani kuwa Rais wa
mwisho wa Tanzania kuongoza nchi masikini.
Rasilimali
ya gesi inatoa nafasi na fursa kubwa kwa nchi yetu kuondokana na
umasikini. Mimi nimeongoza nchi masikini, lakini nataka mrithi wangu
kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri,”
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment