“Kwa mujibu wa marekebisho haya, kila Mjumbe sasa atatakiwa kusaini yeye
binafsi karatasi ya mahudhurio iliyoandaliwa na Katibu wa Bunge
Maalumu, kama uthibitisho wa kuhudhuria kwake,”
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni, Bunge Maalum la Katiba
Pandu Ameir Kificho.
No comments:
Post a Comment