Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima
wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es
Salaam. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa
la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo
la Goma.
Picha zote kwa hisani ya Khamisi Mussa ambaye ni mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment