Friday, November 1, 2013

Mashabiki walivyong'oa viti Uwanja wa Taifa

Viti baada ya kung'olewa jukwaani uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mashabiki wakitafutana baada ya Polisi kutumia mabomu ya machozi.
 Kila mtu akitafuta njia ya kutokea baada ya Polisi kutumia mabomu ya machozi kutuliza fujo zilizotokea katika jukwaa la Simba.
 Polisi wakimdhibiti shabiki aliyekuwa katika jukwaa la Simba.
 Polisi wakiondoka na shabiki wa Simba aliyetuhumiwa kufanya fujo baada ya Kagera Sugar kupewa penati
Picha kwa hisani ya blog ya HabariMseto,audifacejackson.blogspot.com

No comments:

Post a Comment