Aunt Ezekiel, mumewe (katikati) na Ray
Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte
Rahma Aunty
Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty
akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio
Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo
Mr & Mrs Demonte wakipata msosi
Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo
Cloud katika picha ya pamoja na Janja
Cloud na Janja wakibadilishana mawazo
Ray katika pose na shabiki wake
Le Familia Mashallah
JB katika pose
blog ya freebongo
hongera dada umeolewe walisema sana juu yako but now umepata wa kufanana na wewe mmmm...ila kama kadogo hivi..je shemeji yetu ana miaka mingapi vile? na wewe je.....
ReplyDeletehilo kweli hata mimi nimeona au ndio mwili mdogo tu coz mimeshtuka nilivomuona bwana harusi mwenyewe. all in all hongera aunt tulizana sasa.
ReplyDelete