Wednesday, November 28, 2012

Gari alilokuwa akiendesha Sharo Milionea



Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. 
 
Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga. Msanii huyo maarufu anazikwa leo jioni mkoani Tanga.
Wananchi wanaangalia mabaki ya gari alilokuwa akiendesha Sharo Milionea
  Watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. 


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. .
 
Kwa hisani ya blog ya Habari Mseto

1 comment:

  1. Hizi ni baadhi ya challenges ambazo vijana wanapopata mafanikio huambatana nazo,ipo haja ya kuanzisha kampuni zitakazotoa ushauri kwa vijana wanaokwenda kupata mafanikio na jinsi ya kuendesha maisha yao ya kila siku.

    ReplyDelete