Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akiingia katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kusoma bajeti ya Wizara hiyo.
|
Waziri Mwakyembe akisoma bajeti ya wizara ya uchukuzi leo bungeni mjini Dodoma. |
|
Waziri
wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya
akitoa shukurani kwa Serikali na Wananchi waliomuombea wakati akiwa
mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika vikao vya
Bunge ,mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment