Mwandishi
wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha mwanasiasa Mkongwe
Hassana Nassor Moyo kuzungumza na waandishi kuhusu na muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa mwanasisa mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumzia mambo ya muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.
Mwanasiasa
Mkongwe Hassan Nassor Moyo akisisitiza jambo wakati alipozungumza na
Waandishi wa Vyombo mbalimbali kuhusu masuala ya Muungano hapo katika
Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar. Picha na Yussuf Simai- Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment