Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewataka viongozi wa Zimbabwe waafikiane kuhusu mchakato wa mageuzi ya kisiasa kuepusha
vurugu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika siku chache zijazo.
Akizungumza na waandishi wa
habari mjini Harare baada ya mazungumzo na Rais Robert Mugabe na pia Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai, Rais Zuma amesema,
kuna maendeleo yaliyofikiwa kuelekea kwenye muafaka juu ya katiba mpya,
lakini bado kuna vizingiti viichache.
No comments:
Post a Comment