Friday, August 17, 2012

Pinda- anayepinga kufungiwa Mwanahalisi aende Mahakamani

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
 
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema bungeni kuwa, mtu yoyote ambaye anaona hakutendewa haki kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la Mwanahalisi anaweza kukata rufaa mahakamani.

No comments:

Post a Comment