Thursday, August 9, 2012
Mahakama yamuachia huru Balozi Mahalu
m
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo imemuachia huru aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu.
Mahalu alikuwa anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh bilioni mbili.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment