Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha
Makole Mkoa wa Pwani wakiangalia ajali ya gari iliyotokea leo katika
eneo la Mto Wami na kusababisha vifo vya watu 11 wote wakiwa raia wa
Kenya.
Basi
lililokuwa limewabeba raia wa Kenya waliokuwa wakielekea jijini Dar es
salaam kwa ajili ya mikutano ya injili likiwa limetumbukia katika
korongo jirani na Mto Wami na kuua watu 11 katika Kijiji cha Makole Mkoa wa Pwani.
Baadhi ya abiria walionusurika wakiwa katika eneo la tukio kabla ya kupata msaada.Picha zote kwa hisani ya blog ya Mseto
No comments:
Post a Comment