Friday, July 27, 2012

Chameleone, wapambe waandamana kudai Passport

Mwanamuziki mashuhuri nchini Uganda, Jose Chameleone na wapambe wake wakiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda na mabango  wakishinikiza apewe passport yake ambayo anadai kuwepo kwa Erick Shigongo.
 
 
   
 
Chanzo: Blog ya Francis Dande

No comments:

Post a Comment