Friday, June 22, 2012

Wabunge nje ya ukumbi wa Bunge


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo la Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Mbeya Mjini joseph Mbilinyi akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zitto leo wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Makongoro Mahanga(kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge Bumbuli, January Makamba (katikati) na Mbunge wa Singida mjini, Mohammed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment