Friday, June 22, 2012

Rais Kikwete arejea Dar es Salaam kutoka Dodoma

Rais Dkt JakayaKikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadik leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Dodoma katika ziara ya kikazi.
 
Picha na IKULU
 

No comments:

Post a Comment