Friday, June 8, 2012

Mwanamuziki Linnah alivyokula bata Marekani

Linnah(wa pili kushoto) na wadau nchini Marekani








Mwanamuziki maarufu Linah hivi karibuni alimaliza ziara  Marekani baada ya kupiga show kali kwenye miji mbalimbali nchini humo na ku-shoot  video na mwanamuziki AJ 

Picha kwa hisani ya blog ya fununu.

No comments:

Post a Comment