Mrembo
‘five star’ kutoka ndani ya kiwanda cha filamu Bongo, Upendo Moshi ,
amefunguka kuwa uhusiano alikuwanao awali na nyota wa muziki wa kizazi
kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ndiyo uhusiano mbovu zaidi kuliko
yote aliyowahi kuwa nayo.
Upendo
aliyeng’arisha nyota yake kupitia kipindi cha maisha Plus kilichokuwa
kinarushwa na kituo himoja cha runinga ameiambia blog hii kuwa katika
kipindi chote cha miezi 5 alichokaa kwenye uhusiano wa kimapenzi na
Diamond hakuwahi kufurahia tendo la ndoa kila walipokuwa wakidondoka
‘on bed’.
"Nimekuwa na uhusiano wa mapenzi na Diamond kwa miezi mitano, lakini hata mara moja hakuwahi kunifikisha kileleni, kwangu mimi namuona kuwa ndiye mwanaume asiyejua mapenzi kabisa miongoni mwa wale niliowahi kukuta nao” alisema Upendo huku akicheka
Akiendelea
zaidi upendo alifunguka kuwa anashangaa mno kuona wasichana wanapigana
vikumbo mtaani kwa sababu ya mtu huyo akiamini kuwa huenda umaarufu wa
kijana huyo anayeitawala anga ya muziki hizi sasa hapa nchini ndiyo
pekee unaomfanya kugombaniwa ingawa yeye haoni kama ni mwanaume rijari
wa kweli mwenye kujua kumridhisha mwanamke kitandani
“Nashangaa
wanamgombea, lakini aah! acha wapigane vikumbo lakini kwangu mimi
najua Diamond hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kitandani” alisema upendo
Chanzo: Blog ya Super Malecela
No comments:
Post a Comment