Mshambuliaji
wa timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, Mwanahamisi
Omari akichuana na beki wa Ethiopia, Tiruanchi Mengesh wakati wa mchezo
wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam. Ethiopia ilishinda 1-0.
Benchi la ufundi la timu ya Ethiopia wakifurahia ushindi wa timu yao.
Kocha
wa timu ya Soka ya Wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' akiwa na huzuni
baada ya kufungwa bao 1-0 na Ethiopia na kutolewa katika mashindano ya
kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Mshambuliaji wa Twiga Stars, Mwanahamis Omari 'Gaucho' akimtoka beki wa Ethiopia, Berktawet Girma
Kikosi cha Stars
Kikosi cha Ethipoia
Wachezaji wa Ethiopia wakifurahia ushindi wa timu yao.
Ni huzuni tupu, Asha Rashid 'Mwalala' akitoka uwanjani huku akiwa na huzuni baada ya timu yake kulala kwa bao 1-0.
Kocha Mkuu wa Twiga Stars akiwa ameduwaa baada ya kumalizika kwa mchezo.
No comments:
Post a Comment