Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni Mjini Dodoma leo asubuhi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, Augustine Lyatonga Mrema. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment