Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya 2012/13 nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jioni hii. |
Wapiga picha wakigombea picha ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati aliponyanyua mkoaba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma leo Juni 14, 2012. |
Mabalozi wa Nchi mbalimbali waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Juni 14,2012. |
Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13, Mjini Dodoma jioni hii. |
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment