Haruna Moshi akitoa heshima za mwisho.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akitoa heshima za mwisho kwa Mafisango.
Mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi ( wa mbele) akitoa heshima za mwisho kwa Mafisango.
Makocha wa Stars, Silvester Marsh na Kim Poulsen wakati wa ibada ya kuaga mwli wa Mafisango.
Waombolezaji wanamlilia Patrick Mafisango
Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara wakati mwili wa marehemu, Mafisango ulipofikishwa katika viwanja vya TCC Club.
Mlezi wa klabu ya Simba, Prof. Philimon Sarungi akimfariji Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage.
Mchezaji wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kumuaga marehemu Mafisango jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akitoa
heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Patrick
Mafisango.
Kocha wa Simba akitoa heshima za mwisho.
Patrick Mafisango enzi za uhai wake
Patrick Mafisango enzi za uhai wake
Picha zote kwa hisani ya www.francisdande.blogspot.com
BURIAN KIUNGO MSHAMBULIAJI MAFISANGO
ReplyDelete