![]() | |
Mwanamitindo, Flaviana Matata, akikabidhi vifaa vya kujiokolea majini ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuazama kwa meli ya Mv Bukoba Mei 21, 1996 |
![]() |
Flaviana Matata akishindwa kujizuia
na kuangua kilio wakati wa ibaada ya kumbukumbu ya miaka 16 ya ajali ya
meli ya MV Bukoba.
Mama mzazi wa
Flaviana alikufa katika ajali hiyo Mei 21, 1999
|
![]() |
Flaviana na wageni wakiweka mashada kwenye makaburi ya waliokufa kwenye ajali hiyo Igoma Mwanza. |
![]() |
Waombolezaji wengine waliofiwa na ndugu zao wakiombea marehemu wa ajali hiyo. |
No comments:
Post a Comment