Friday, April 13, 2012

Picha 13 za mazishi ya Kanumba zachapishwa kwenye tovuti Nigeria





Baadhi ya picha zilizowekwa kwenye tovuti nchini Nigeria



Picha 13 za mazishi ya aliyekuwa kinara wa filamu nchini, Steven Kanumba, zimechapishwa katika moja ya tovuti nchini Nigeria.



Picha hizo zinaonesha matukio mbalimbali wakati wa mazishi na maziko ya msanii huyo aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 28.


Ukitaka kuziona picha hizo na nyingine mbili za Kanumba wakati wa uhai wake tembelea tovuti ya MJ

No comments:

Post a Comment