Thursday, March 8, 2012

Mwacheni Messi aitwe Messi

Amekuwa mwanasoka bora wa DUNIA mara tatu mfululizo, waliomchagua hawakukosea, hakuna kama yeye kwa sasa na binafsi huenda sitamwona mwanasoka mwingine mwenye kipaji kama yeye katika siku za uhai wangu.


Wapo wanaojitahidi kumlinganisha na nyota wengine wa soka wa kizazi hiki akiwemo Christiano Ronaldo, hawakosei kufanya hivyo, si vibaya kuwalinganisha, lakini hakuna wa kumfikia Messi, mwacheni Messi aitwe Messi.


Soma zaidi

LIONEL MESSI last night became the first man to score FIVE goals in a Champions League game.

The Barcelona magician, 24, bettered his own record of four against Arsenal in April 2010.


Messi is now fourth on the all-time goals list for the competition with 49 behind Raul (71), Ruud van Nistelrooy (56) and Thierry Henry (50).


Barca midfielder Cesc Fabregas said: "Leo is the best player in history — we have never seen anyone like him."


Messi put two past the Germans before the break and added another three in the second half.


Cristian Tello also hit a pair while Karim Bellarabi gave the shell-shocked Leverkusen fans something to cheer in the last minute.

No comments:

Post a Comment