Thursday, March 15, 2012

Diva kumpa mwanawe jina la mtoto wa Beyonce

Loveness a.k.a Diva


Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa Clouds FM, Loveness Malinzi amesema kwenye blog yake kwamba, atakapopata mtoto atamficha na hakuna atakayekiona kichanga hicho.


Binti huyo anayedaiwa kuwa mjamzito na anayesemekana kuwa na sauti ya mahaba amefunguka kwa kusema kuwa, akipata mtoto atampa jina kama la mtoto wa mwanamuziki maarufu duniani, Beyonce.


Soma hapo chini alichokisema Loveness kwenye blog yake


Guys nimekaa for 5days Shree Hindu Mandal hospital ,sick going thru heart Probs
so leo got my risasi page ya Mimba yangu Yaleta Utata..


sikuwa katika show for 2days so my fans na watu ninaofanya nao kazi na social network nyingi zimenipongeza na wameniambia Mtoto wangu Ntamwita nani?well Ntamwita Baby Blue kama mtoto wa Beyonce...............


guys had to go through full body check up.glad am Ok sehemu nyingi.stil recovering and LOL Kwa issue ya Mimba..so excited yaani thou its funny and haya nikibahatika kupata Mtoto ntamwita Baby Blue na ntamficha ndani hamna hata atakaemuona mtoto wangu.


GOTTA Shop for baby Blue i swear....yay am going to be a mommy


hahahahahahaha...Imebidi nipige hii picha mnione..do i look Pregger kwani?? heading at the office...nimemisije ala za roho and the fans??

No comments:

Post a Comment