Wednesday, January 25, 2012

Beckham azidi kuongeza tatuu mwilini

Moja ya picha ya mwanasoka maarufu duniani, David Beckham zitakazotumika katika jarida litakaloanza kuuzwa Januari 30 mwaka huu.


Kuna taarifa zinazodai kuwa, licha ya Beckham kuwa na tatuu katika sehemu kubwa ya mwili wake, ameongeza nyingine hivi karibuni.





Mwanasoka huyo akiwa amechora tatuu zenye majina ya wanawe wa kiume, Brooklyn, Romeo na Cruz

Beckham akiwa amechora tatuu yenye jina la binti yake, Harper















No comments:

Post a Comment