Wednesday, July 6, 2011

Usher- Rihanna mzuri lakini simchakachui

Mwanamuziki maarufu , Usher Raymond amekiri kwamba, yeye na mwanamuziki mwenzake, Rihanna wali-kiss (walipigana mabusu) lakini hawana uhusiano wa kimapenzi.

Usher ameliambia jarida la Fabulous kuwa, Rihanna ni mzuri a.k.a ana mvuto lakini hayumo kwenye orodha ya watu 'wanaomkimbiza'.


Mwanamuziki huyo mwenye watoto wawili wa kiume amesema, Rihanna ni kama dada yake, na kwamba, they r just friends!
Kuna minong'ono kwamba, Usher na Rihanna wanavunja amri ya sita kama si kula tunda la katikati, wote wamesema kwa sasa uhusiano wao ni wa kaka na dada.

Mwaka 2009 Usher aliachana na mama watoto wake, Tameka Foster, na amekiri kuwa, yupo kwenye uhusiano na kuna 'wachumbaz' wanao-click his mind.

Usher has admitted that he and pop songstress Rihanna have shared a kiss, although he insists that they are just friends.


The R&B singer revealed that he is close friends with "beautiful" RiRi, however, there is nothing more to their relationship as he thinks of her as a "sister."


"Rihanna is beautiful," he admitted to Fabulous magazine.


"But she's not necessarily on my hit-list - she's like my sister right now. Or cousin - we have kissed."


The pair were recently rumoured to be dating when they were seen dirty dancing in a club. However, they both denied that they were seeing each other at the time.


While Usher says that he is not in a relationship at the moment, he does say it's important for a man to have female company.


"Companionship is important - every man should have a woman to make him better."

"I'm dating at the moment - not anyone in particular, but I have a few people I'm interested in."

Usher divorced mother of his two sons, Tameka Foster in 2009.

No comments:

Post a Comment