Monday, August 17, 2009

Zombe kuhukumiwa leo

WATANZANIA wanasubiri kwa hamu hukumu ya kesi ya mauaji inayomkabili aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Polisi, Dar es Salaam, Abdallah Zombe na wenzake wanane.
Hivi sasa Zombe na washitakiwa wenzake wapo Mahakama Kuu kusikiliza hatma yao.
Wanatuhumiwa kuwaua watu wanne kwa kuwapiga risasi Januari 14, 2006 katika msitu wa Pande, Mbezi, Dar es Salaam.
Endapo watapatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifo.

No comments:

Post a Comment