Monday, March 9, 2009

Tendo la ndoa kuruhusiwa magerezani?

KAMA Jeshi la Magereza litaridhia mapendekezo ya watalaamu, wafungwa waliooa au kuolewa wataruhusiwa kufanya tendo la ndoa na wenzi hao katika maeneo ya magereza lakini si ndani ya gereza.

Mkuu wa Magereza, Augustine Nanyaro amesema, utaratibu huo ukianza kutumika watakaopata haki hiyo ya ndoa ni wenye vyeti vya ndoa, na wanaojiheshimu.

No comments:

Post a Comment