"JAMANI, wanawake wenzangu, si ni sisi wenyewe tunawachukua watoto wetu wa kike na kuwapeleka dukani?...si ni sisi wenyewe tunawanunulia vitop na kuwavisha huku tunajigamba tunakwenda na wakati? Sasa wakibakwa tunalalamika nini? Namna hii kweli Ukimwi utakwisha? Salma Kikwete.
No comments:
Post a Comment