Tuesday, March 3, 2009

Mtangazaji ITV afariki dunia


Rehema(kulia)

MTANGAZAJI/Mwandishi wa habari wa ITV na Radio One Stereo, Rehema Mwakangale amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Mikocheni, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jijini humo, Rehema alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina.

No comments:

Post a Comment