Friday, March 27, 2009

Mtaani kwetu

Wingi wa masholi sio kipimo cha urijali

1 comment:

  1. Leo nimekuja kapa na nimejifunza msemo wa mtaani kwenu!
    'Debe tupu halivumi'.
    'Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi'
    'Akili nyingi huondoa maarifa'.

    ReplyDelete