Mchawi akipelekwa kituo cha polisi Kilifi, Kenya
Bibi akifanya majambooz yake kumponya mtoto aliyelogwa
Mchawi akiwa kazini
Lucky akitapika baada ya 'kutakaswa'
MWANAMKE nchini Kenya ameumbuka kwa kulazimika 'kumtakasa' mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyedaiwa kulogwa.
Mwanamke huyo, Kashutu Chai amekiri polisi kuwa aliloga mtoto huyo, Lucky Charo, kwa kuwa alimuibia chuma chakavu.
Polii walimkamata bibi huyo na kumpeleka kituo cha polisi Kilifi na wakamlazimisha afue ndumba hizo, alitii amri hiyo na 'kumtakasa' mtoto huyo.
Ili kutekeleza amri hiyo, bibi huyo alifanya mambo yake huku polisi wakishuhudia, mtoto huyo akaanza kutapika vitu vigumu kila baada ya dakika 30.
No comments:
Post a Comment