
Banana Zorro na mkewe, Suzy
KUNA imani katika jamii yetu kwamba watu maarufu wakioana ndoa zao huwa hazidumu.
Kwa mujibu wa imani hiyo, mtu maarufu akimuoa staa mwenzake ndoa yao huwa ya amani kwa kwa muda mfupi, baadaye huanza misukosuko na hatimaye hutengana au kuachana(hupeana talaka)
Wanaoamini hivyo wanadai kuwa staa akioa au kuolewa na mtu asiye staa ndoa yao hudumu, lakini wakiwa wenyewe kwa wenyewe(mastaa) mmhh!
Sifahamu uhusiano uliopo kati ya umaarufu wa mtu na amani katika ndoa, wataalamu wa taasisi hiyo tupeane nondo hizo ili hata ambao bado Wapo wapo sana wajiandae kwa tamu na chungu.
No comments:
Post a Comment